Jina langu na hito Asmani ni nzaliwa Tereishi na Atano, mwezwa mne Makaif mwaja 998 Nilikuwa naishi na wazazi wangu, nilivu kuwa mdogo nilihumwa sana Mdamrefu, mwili wangu likuwa hauna mguvu laidi Wazazi wangu wadipata shida sana, wali nipeleka hospitali tufautu tufauti Kuyo, baada hapo, babangwa alifariki dunia Tereishi na sita, mwezwa sita, makaif mwaja 998 Baada hapo, babangwa alifariki, kikwili mamangwa alipata shida sana Familia alipata shida sana Baada hapo, nilipopaliza form 4 Kuhuli liwana ni mda mzuri kutumbia komedianku Kuhuli lipata baati kusafiri semu bali bali, kutangaza makapudi Hila mamangwa kufurahia kabisa kwa sababu ni kuna safiri na watu ambao Hawajui, kuyo, niliona, nilifikiria sana Sasa, siwezi kukabila kazi, kuyo nilitafuta kazi Na nipepata demacrafti, na demacrafti wali nipokelea mzuri Sasa, kuyo niko kujainara ya dukani Kuyo nipefurahi sana kuhona biza tufautu tufauti Pia mimi natangaza kazi hii ya ulemavu Kuyo nimefurahi sana kufanya kazi demacrafti Kwa sababu na marafiki wegi Pia nimepepata faida na nyumba, nimepepata mbshara Bilebile, nimepepata marafiki tufautu tufauti Pia nimejua alama, sign language Kuyo unapenda sana kazi demacrafti
Filmmaker
Neema Crafts is the filmmaker behind this entry.
Filmmaker profile pages are coming soon — in the meantime you can
browse all their films in the search.
?
0 comments
More Films Like This
Athuman's Story by Neema Crafts (2023)
Press Esc or click outside to close
Confirm Your Vote
Athuman's Story
by Neema Crafts - INTERNATIONAL DOCUMENTARIES